Monday, July 11, 2011

ISMAIL JUSA ANAMJIBU SAMWEL SITA

7 comments:

 1. Kwanza napenda kukupongeza Bw Rashid kwa uerevu mkubwa wa kukuwezesha kufungua Website hii ambayo itatuwezesha Wazanzibar popote tulipo kupata kuona na kusikia yale yanayootokea Zanzibar. Ushauri... nakuomba ujitahidi kuweka video zenye ubora wa picha na sauti mfano ni video hii upande wa sauti iko safi kabisa lakini picha haiko clear kama ambavyo tunategemea

  ReplyDelete
 2. Hata mfanye vipi, mtabaki kuwa koloni letu milele. Hamtoweza kufurukuta. Tutaendelea kuwatawala mpende msipende. Tumefanikiwa kufanya hivyo kwa takribani miaka hamsini sasa. Poleni

  ReplyDelete
 3. Ni upumbavu kama huu utakaoleta mfarakano kwa watanzania. Wazanzibari tufikirie kwa makini mambo yakiharibika, huyu atakuwa wapi na sisi tutakuwa wapi.

  ReplyDelete
 4. Mambo yakiharibika Wazanzibari mtarudi kurundikana kwenu! Mtajiju. Na hili ni shurti litimie.

  Tumewahurumia na kuwaruhusu kuishi na kufanya biashara kwetu Tanganyika, na mkazaliana kama panya. Mkajisahau kuwa kwenu hakuna ardhi ya kutosha. Mna bahati ninyi mlioko kwenu, lakini kwa wale walioko pande hii, cha moto watakiona.

  ReplyDelete
 5. Hapo CCM kashikilia kiuno vilivyo, wazanzibari hawafurukuti. Yaani hawawezi kutikisa kiuno mpaka bao latinga

  ReplyDelete
 6. Unasema Nyerere alikuwa anwanyenyekea waingereza,kwa nini kila baada ya maneno unweka kingereza. Acha kutupoteza, kama muungano ni wa kinafiki basi bora uvunjwe.Anawaongopea tu wasiojua kusoma na kuandika!!!

  ReplyDelete
 7. Anasema kuelekea mashariki hakuna nchi mpaka kufika Indonesia,Sychelles iko wapi?British Indian Ocean Territory iko wapi?Maldives iko wapi?You are so stupid, We need to be together,fighting for poverty,not to split up!!!

  ReplyDelete

Modified by HiTZenji 2011